Wednesday, August 1, 2012

happy birthday j-lo

akiingia chomboni,

akilakiwa na wageni wake sambamba na kipenzi chake
mwanamke kujiamini,

hii ndiyo keki iliyoandaliwa kwa siku hiyo maalum.43 years, happy birthday j-lo

hebu mwangalie utaamini amefikisha 43???????????mi nilifikiri ana thirty hivi,jipige picha umri wako na unavyoonekana sasa alafu jilinganishe at this age of jlo (43) uatakuwa na look ipi,heeee heeee wanawake tujichangamshe jamani



No comments:

Post a Comment